- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Tembo wapatao 25 wakitokea katika mstu wa hifadhi waKimisi, wamevamia kitongoji cha Kamuli katika kata ya Kasulo Halmashauri yaWilaya ya Ngara Mei 10, 2018, na kuaribu mazao ambayo thamani yakehaijajulikana bado.
Akiongea kwa njia ya simu Afisa Mtendaji wa Kata ya KasuloNdugu Peter Jeremiah Kapalala, amesema Tembo hao walivamia mashamba usiku wakuamukia Alhamisi, na kuaribu mashamba ya Mahindi, Karanga na Maharage.
“Wananchi wamejitahidi kuwafukuza tembo hao, ili warejeetena katika poli la hifadhi, lakini imetuchukua muda mrefu, kwani hadi saa tanomchana walikuwa bado wamo mashambani.” Alisema Mtendaji Kapalala.
Insemekana wanyama hao hawakuwadhulu watu na wala watuhawakuwadhulu tembo hao, na kwamba pamoja na kuwafukuza inaonekana wanyama hao hawakwendambali, wananchi wana wasiwasi kwamba uenda wakarejea tena.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa