- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Afisa elimu sec Ndg. Enock Ntakisigaye Kwa niaba ya Mkurugenzi alisema idadi ya vyumba vya madarasa 8 , maabara 3 , Jengo la Utawala 1 , Matundu 20 ya Vyoo , na Ghumba Cha Computa .
Mradi utagharimu tsh 584,280,028.00/ Fedha kutoka Serikali kuu kupitia Mradi wa SEQUIP
ujenzi huo unaendelea vizuri ili mwakani shule hiyo iweze kuchukua wanafunzi wa kata ya Nyamagoma na kata jirani .
Kuwepo Kwa shule hiyo kutaondoa adha kubwa waliokuwa wakipata wanafunzi kwenda kusoma shule ya sekondari Murusagamba ambapo walitembea umbali wa takribani km 15 hadi 25
Aidha alimshukuru Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa kutoa Fedha hizo .
kitengo cha mawasiliano ngara. ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa