- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA LEO
Uzinduzi wa wiki ya sheria umefanyika wilayani Ngara Kwa kufanya mazoezi ya pamoja na matembezi km 5 Ambapo wamejitokeza watumishi wa Mahakama, viongozi wa Serikali ,Taasisi na wananchi.
Mgeni Rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya aliyewakilishwa na Ndg Jawadu Yusuph Afisa Tarafa Nyamiaga.
Kaulimbiu ikiwa " Umuhimu wa Dhana ya haki Kwa ustawi wa taifa, Nafasi ya Mahakama na wadau katika kuboresha mfumo Jumuishi wa Haki Jinai "
Aidha Elimu juu ya sheria inaendelea Kutolewa Kwa wananchi Ambapo kilele Cha Maadhimisho hayo ni tarehe 1/02/2024.
Uzinduzi wa siku ya sheria Kwa kufanya mazoezi na matembezi ya km 5 Yamefanyika Wilayani Ngara Leo.
Matembezi wakiwa wameshika mabango mbalimbali.
Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa wiki ya sheria akiwa katika picha ya pamoja na Mhe hakimu wa wilaya ,wanafunzi wa shule ya Sekondari.
Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya aliyewakilishwa na Ndg.Jawadu Yusuph akiwa na hakimu wa wilaya Mhe Terysophia Tesha, ambapo walipokea maandamano ya matembezi na kukagua Vibanda vya maonesho shughuli Mbalimbali za Sheria ambavyo ni Ustawi wa Jamii, Takukuru, Muhola, Codiso na nyinginezo.
Mgeni Rasmi Kwa niaba ya Mkuu wa wilaya Ndg Jawadu Yusuph akitembelea Vibanda vya maonesho akiongozana na Mhe Terysophia C Tesha.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa