- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Katika kuadhimisha Siku ya Mazingira duniani ambayo ni Tarehe 05-06 Kila mwaka
Mhe Col Mathias Julius Kahabi Mkuu wa Wilaya Ngara pamoja na Ndugu Solomon Kimilike Mkurugenzi Mtendaji Ngara - Wanatumia fursa hiyo kuwasisitiza sana wananchi wote wa Wilaya ya Ngara juu ya utaratibu wetu wa kawaida tujitokeze kufanya usafi wa mazingira Kila siku ya Alhamis.
Kauli mbiu ya siku ya mazingira Kwa mwaka 2024 inasema: Urejeshwaji wa Ardhi, Ustahimilivu wa Hali ya Jangwa na Ukame.
Tunawasihi sana wananchi wote wa Ngara
"Tuendelee kufanya usafi wa mazingira kama ilivyo desturi yetu wananchi wa Ngara tuyatunze mazingira yetu ni miongoni mwa Tunu katika wilaya yetu"
watumishi halmashauri na tembonickel wakiwa katika maadhimisho ya siku ya mazingira duniani.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa