- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Agizo hilo limetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa hadhara uliohudhuliwa pia na Rais wa Burundi Mh. Pierre Nkurunziza, viongozi mbalimbali wa nchi hizi mbili pamoja na wananchi.
Rais ameeleza kuwa serikali imefuta tozo zaidi ya 80 zilizokuwa ni kero kwa wakulima. Akitolea mfano moja kati ya tozo hizo, alisema kuwa wananchi wasitozwe kodi kwa mazao chini ya tani moja kama ilivyopitishwa kwenye bajeti ya serikali ya mwaka 2017/2018.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa