- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkuu wa wilaya ya Ngara Mhe Col. Mathias Julius Kahabi pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Ngara Ndg. Solomon O. Kimilike wanawakumbusha Viongozi na wananchi wote kwa ujumla wilayani hapa kuhakikisha tunaendelea na Desturi yetu ya usafi wa mazingira yetu ambapo kiwilaya ni Kila siku ya Alhamis kuanzia Asubuhi saa 2:00 Hadi saa nne Asubuhi
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa