- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mafunzo hayo yanayoendeshwa na PPRA na kuratibiwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera. Maafisa waliohudhuria ni kutoka Halmashauri zote nane za Mkoa wa Kagera Pamoja na Sekretarieti ya Mkoa wa Kagera.
Washiriki kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ngara wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Solomon .O. Kimilike. Walio katika picha ya pamoja kumbukumbu na Mgeni Rasmi kutoka kushoto waliokaa ni Ndg. Nesphory Bwana (Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Kagera) na CPA Robert Lubimbi (Chief Internal Auditor)
Waliosimama kutoka kushoto ni Ndg. Said Salum (Kaimu Mkuu wa Kitengo Cha Habari na Mawasiliano), Ndg. Eustach Ntayandi (Kaimu Mkuu wa Kitengo Cha TEHAMA), Bi. Evelyne Mwigira (Kaimu Mkuu wa Kitengo Cha Ukaguzi wa Ndani), Bi. Norah Mihayo (Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Uhasibu), Wakili James Makwinya (Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kisheria) na Ndg. Steven Mhina (Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi na Ugavi)
www.ngaradc.go.tz
Imetolewa na Kitengo cha Habari na Mawasiliano Wilayani Ngara
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa