- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya ziara Murusagamba Wilayani ya Ngara Mkoani Kagera na kupokelewa na viongozi wa Wilaya na kutoa utatuzi wa changamoto ya Maji kwa wananchi wa eneo hili.
Aidha ziara hii ni katika kutekeleza agizo la Mheshimiwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe Dotto Biteko
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa