- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Ngara Mh. Wilbard J Bambara na Mkurugenzi Mtendaji Bw. Solomon Kimilike leo tarehe 17,03.2022 wamezindua magari mawili 2.
Magari hayo ni Land Cruiser yenye namba ya usajili SM 15052 na Toyota Double Cabin Hillux yenye usajili SM 15109.
Magari hayo yamenunuliwa kwa fedha za Mapato ya ndani Kwa mwaka wa fedha 2022/2023 .
Aidha hafla hiyo imehudhuliwa na Makamu M/kiti wa Halmshauri, Katibu Tawala Wilaya, baadhi ya Waheshimiwa Madiwani na Wakuu wa Idara na Vitengo .
Akiongea katika hafla hiyo M/kiti wa Halmashauri alisema magari hayo yatumike Kwa nidhamu ili kuzuia uchakavu wake na pia yatumike kurahisisha utendaji kazi ikiwa ni pamoja na ukusanyaji wa mapato ya halmashauri .
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa