- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Leo tarehe 30/06/2023 Mheshimiwa Kanali Mathias Kahabi (DC NGARA) ameambatana na Wakuu wa idara na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama Ngara atembelea na kukagua miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa katika Wilaya ya Ngara, miradi hiyo ipo katika Kata mbalimbali wilaya ya Ngara na inatarajiwa kuja kukaguliwa na kamati ya siasa ya Mkoa wa kagera tar 06 julai, 2023.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa