- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA LEO
Zoezi la usafi wilayani Ngara limefanyika siku ya alhamisi ikiwa ni endelevu.
Mhe Col Mathias Julius Kahabi ameshiriki katika zoezi la usafi mji wa Ngara mjini pamoja na watumishi wa serikali , taasisi pamoja na Wananchi.
Zoezi la usafi linafanyika kata zote 22 za wilaya ya Ngara.
Mkuu wa wilaya Mhe Col Mathias J Kahabi akiwa katika zoezi la usafi na watumishi pia wananchi.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa