- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Zoezi la Usafi lililozinduliwa na Mkuu Wa Wilaya Mhe.Kanali Mahias Julius Kahabi,akiwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon Kimilike, kamati ya Usalama, Wakuu wa Idara na Vitengo Halmashauri, pamoja Wakuu wa Taasisi, katika kata ya Rusumo Wilayani Ngara .
Zoezi la Usafi ambalo Kwa Sasa wananchi wa Ngara wamehamasika kata zote wananchi hujitokeza kufanya usafi Kila siku maalum ya Alhamis ya Kila wiki. Lakini Sasa imekuwa Kila siku wananchi wanafanya katika maeneo yao ya shughuli za Kila siku na Majumbani wanakoishi.
Mkuu wa Wilaya amewapongeza watendaji wa vijiji na kata Kwa usimamizi katika kata zao .Aidha amewataka waendelee na moyo wa usimamizi usafi katika maeneo yao.
Pia Mkuu wa Wilaya Mhe Kanali Mathias Kahabi akiawa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya, kamati ya Usalama na Wakuu w Idara na vitengo wamefanya ziara ya Ukaguzi wa usafi na kusikiliza na kutatua kero katika kata ya Rulenge wilayani Ngara.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa