- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Zoezi la Usafi wa Mazingira limeendelea Leo siku ya Alhamis Kwa Kila viongozi kusimamia suala la Usafi.
Kampeni iliyoanzishwa na Mkuu Wa Wilaya ya Ngara Kanali Mathias Julius Kahabi Kwa ushirikiano na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg.Solomon Kimilike.
Leo limefanyi zoezi hilo kwenye makazi ya watu,maeneo ya Biashara , ofisini za Serikali na Taasisi Mbalimbali.
Uhamasishaji Mamlaka ya Mji Mdogo wa Ngara mjini wakiongozwa na Mtendaji wa kata na Mkiti wa kitongoji Ngara mjini.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa