- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Leo zoezi la Usafi wa Mazingira limefanyika Kwa kata zote zilizomo wilayani Ngara.
Kampeni iliyoanzishwa na Mhe. Kanali Mathias J. Kahabi Mkuu wa Wilaya ya Ngara Kwa kushirikiana na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg. Solomon O. Kimilike.
Zoezi hilo limeendelea Leo Kwa Kila kata kufanya usafi kwenye ofisi za Serikali, maeneo ya Biashara Mbalimbali pamoja na makazi ya watu (Nyumbani).
Aidha Mkuu wa Wilaya Mhe. Kanali Mathias Julius Kahabi amewapongeza viongozi wasimamizi Kwa Kila Eneo pamoja na Wananchi.
Mhe Mkuu wa wilaya amesema zoezi la Usafi wa Mazingira wailayani Ngara ni Endelevu Kila mmoja kwenye eneo lake liwe safi.
Timu ya Ukaguzi wa usafi itakuwa inapita kukagua.
Zoezi la Usafi likiendelea kufanyika Kwa wananchi kufanya usafi katika maeneo yao Wilayani Ngara.
Wanachi wakifanya usafi wa Mazingira.
Zoezi la Usafi wananchi wakiendelea kusafisha mazingira.
Zoezi la Usafi Nyasi,karatasi, chupa zikiokotwa na Wananchi.
Wananchi wakiwa wamekusanyika baada ya zoezi la Usafi eneo la gulio wakiwa na viongozi wa eneo lao.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa