- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Biashara pia ni sehemu ya shughuli za kiuchumi ambazo hufanyika katika Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Shughuli hii ya kiuchumi hujumuisha nchi jirani za Burundi na Rwanda kwa sababu Halmashauri ya Ngara imepakana na hizi nchi mbili. Wafanyabiashara wa Ngara hupeleka bidhaa zao katika nchi hizi mbili na kwa upande wa nchi jirani hufanya hivyo hivyo pia. Biashara sio tu imeinua uchumi wa Halmashauri na wananchi wake ila imesaidia pia kuimarisha ushirikiano, mahusiano na kudumisha Amani na Umoja baina ya wilaya na nchi hizi mbili.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa