- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Wafanyakazi wa hospitali ya wilaya Nyamiyaga wanaendelea na mafunzo ya mfumo wa afya ambayo yanatolewa na Afisa TEHAMA wa mkoa Bw. Ladislaus Kaijage. Mafunzo haya yanatolewa kutekeleza agizo la serikali linalotaka hospitali zote za mkoa na wilaya kuwa zimejiunga na mfumo wa hospitali ifikapo Juni 30, 2017. Mbali na Kuhifadhi taarifa mbalimbali za mgonjwa, mfumo unalenga pia kuboresha mapato ya hospitali.
Baada ya mafunzo katika hospitali ya Nyamiyaga awamu itakayofuata ya mafunzo itakuwa kwa ajili ya vituo vyote vya afya ambavyo ni Murusagamba, Lukole, Bukiriro na Mabawe.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa