- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Ngara leo
Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon Kimilike ametembea kuona maendeleo ya ujenzi wa shule ya Amali inayojengwa kijiji cha kasharazi kata ya Rusumo.
Ujenzi wa shule hiyo utagharimu TSH 1.6 Bilion
Aidha Mkurugenzi Ndg Kimilike alifuatana na Afisa Elimu Sekondari Mwl Enock Ntakisigaye na Mhandisi wa Ujenzi Simon Mtuka.
Mkurugenzi mtendaji alimshukuru Rais wa Jamuhuri ya muungano Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuleta fedha nyingi za miradi ya maendeleo katika sekta mbalimbali wilayani Ngara.
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa