- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Leo tarehe 19/01/2024 viongozi Toka Ngara wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya. Ndg Solomon Kimilike na Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe Wilbard Bambara wamekutana na kamati Bunge ya Kudumu ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) Jijini Dodoma.
Viongozi walihudhuria Kikao hicho ni Mhe Wilbard Bambara Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya, Ndg Solomon Kimilike Mkurugenzi Mtendaji Wilaya, Ndg Constantine Msemwa Mkuu Idara ya Mipango, Bi Sabra Mwankenja Mkuu wa Idara utawala na rasilimali watu, Ndg Privanus Katinhila Mkuu wa Idara ya uwekezaji viwanda na Biashara, Wakili Maliki Mweneyuni Mwanasheria Halmashauri, Ndg.Telesphori Ngerangera mkuu wa kitengo Cha Ukaguzi wa ndani, na Ndg Abas Omary mkuu wa kitengo Cha Fedha .
Halmashauri ya Wilaya ya Ngara baada ya Kukutana na kamati hiyo wametoka salama na vizuri.
Viongozi wa wilaya ya Ngara wakiwa wametoka kukutana na kamati ya Bunge ya kudumu ya Hesaba za Serikali za Mitaa( LAAC) JIJINI DODOMA.
Viongozi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ngara wakusibiri kukutana na Kamati ya Bunge ya kudumu ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC ) Jijini Dodoma.
Picha ya pamoja viongozi wa Wilaya ya Ngara baada ya Kutoka kukutana na Kamati ya Bunge ya kudumu ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)
Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe Wilbard Bambara, Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon Kimilike, Mkuu wa Idara ya Mipango Ndg Constantine Msemwa, Mkuu wa Idara utawala na rasilimali watu Bi Sabra Mwankenja, Mkuu wa Idara ya uwekezaji viwanda na Biashara Ndg Privanus, Mwanasheria Maliki Mweneyuni mkuu wa kitengo Cha sheria, Mkuu wa kitengo Cha Ukaguzi wa Ndani Ndg T. Ngerangera, Mkuu Kitengo Cha Fedha Ndg Abas Omary.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa