- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Diwani wa kata ya Kanazi mh. Mathias E. Mugata akiwasilisha taarifa ya kata yake ikiwemo mapato na matumizi katika baraza la madiwani lililofanyika kuanzia tarehe 23 hadi 25 mwezi wa 2 mwaka 2017
Kutoka kushoto, kaimu mkurugenzi mtendaji Amos Bigambo, mwenyekiti wa halmashauri ambaye pia ni diwani wa kata ya Bukiriro mh. Erick E. Nkilamachumu na makamu mwenyekiti wa halmashauri ambaye pia ni diwani wa kata ya Rusumo mh. Wilbard J. Bambara wakisikiliza kwa makini uwasilishaji wa taarifa za kata kutoka kwa madiwani wenzao katika baraza la madiwani lililofanyika tarehe 23 hadi 25 mwezi wa pili mwaka 2017
Diwani wa kata Mugoma mh. Kagomba S. George akiwasilisha taarifa ya kata yake kwenye baraza la madiwani lililofanyika kuanzia tarehe 23 hadi 25 mwezi wa pili mwaka 2017
Waheshimiwa madiwani wakisikiliza kwa makini wakati diwani wa kata ya Murukulazo mh. Mukiza Byamungu akiwasilisha taarifa ya kata yake.
Meza kuu, waheshimiwa madiwani, watendaji wa halmashauri na wananchi wakifuatilia mijadala katika baraza la madiwani lililofanyika tarehe 23 hadi 25 mwezi wa pili mwaka 2017
Diwani wa kata ya Rusumo ambaye pia ni makamu mwenyekiti wa halmashauri mh. Wilbard J. Bambara akiwasilisha taarifa ya kata yake kwenye baraza la madiwani lililofanyika kuanzia tarehe 23 hadi 25 mwezi wa pili mwaka 2017
Diwani wa kata ya Bukiriro ambaaye pia ni mwenyekiti wa halmashauri mh. Erick E. Nkilamachumu akiwasilisha taarifa yake ya kata kwenye baraza la madiwani lililofanyika kuanzia tarehe 23 hadi 25 mwezi wa pili mwaka 2017
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa