- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
LIVE : MAZISHI YA R C O MWENGE, JESHI LATOA HESHIMA YAKE
Kaimu Afisa Utumishi na Utawala(W) Ndg Muzora Bitesigirwe atolea ufafanuzi wa namna sahihi ya kufuata ili vikao vya kisheria ndani ya mamlaka za miji midogo ya Ngara mjini na Rulenge vifanyike.
Ufafanuzi huo ulitolewa katika kikao cha baraza la madiwani cha taarifa za kata kilichofanyika tarehe 27 April 2017, baada ya Mwenyekiti wa Halmashauri Mh. Erick Emil Nkilamachumu kuhoji juu ya vikao vya kisheria katika mamlaka hizo.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji (W) Ndg. Gedeon Mwesiga aeleza umuhimu wa zoezi la upigaji chapa mifugo kwa jamii. Zoezi hilo lilizinduliwa Tar. 27 Novemba 2017 katika kijiji cha Kasulo kata ya kasulo.
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa