Wakati ilipowekwa: November 24th, 2024
Leo tarehe 24/11/2024, Mhe Col Mathias Julius Kahabi DC Ngara amesaini Majendwali ya fidia Mradi wa Umeme Nyakanazi kwenda kwenye Mradi mkubwa wa Kabanga Tembo Nickel.
Zoezi la kusaini Majedwali ha...
Wakati ilipowekwa: November 19th, 2024
NGARA LEO
Leo tarehe 19/11/2024, Bodi ya Shirika la Utangazaji Tanzania - TBC Taifa, imefika Wilayani Ngara na kujitambulisha ofisini kwa DC Ngara Mhe Col Mathias Julius Kahabi.
Mwenyekiti wa Bo...
Wakati ilipowekwa: November 19th, 2024
NGARA
18/11/2024
Yamefanyika Mafunzo ya mfumo wa Ununuzi Sefikalini (NeST) ambayo yanayoendeshwa na Wataalm kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA)
Mafunzo yame...