Wakati ilipowekwa: March 5th, 2024
Pumzika kwa amani Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya pili.
ngaradc.go.tz...
Wakati ilipowekwa: March 4th, 2024
Watumishi wa Umma Mkoani Kagera wametakiwa kuyatumia Vyema Mabaraza ya Wafanyakazi ili kuweza kuimarisha mahusiano kazini ikiwa ni chachu ya kutekeleza vyema majukumu na wajibu wao wa kila siku.
Ak...
Wakati ilipowekwa: March 3rd, 2024
Mhe. Mkuu wa Mkoa Kagera Hajat Fatma Abubakari Mwassa ameongoza Kikao cha Bodi ya Barabara chenye kujadili utekelezaji wa Kazi na Miradi ya Barabara kwa Bajeti iliyopita, ikiwa ni sambamba na kujadili...