Wakati ilipowekwa: January 10th, 2019
Wahamasishaji na watoa elimu kwa wananchi kuhusu athari za ugonjwa wa Ebola katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, wametakiwa kwenda kutoa elimu hiyo vijijini kwani wananchi hao bado hawana uelewa wa ...
Wakati ilipowekwa: January 8th, 2019
Ofisi ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, imeagizwa kuwatambua na kuwasajili upya wananchi wilayani humo, ili waweze kupata vitambulisho hivyo, kufuatia hofu kwamba...
Wakati ilipowekwa: January 7th, 2019
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Kangi Lugola, ameridhishwa na kazi inayofanywa na kamati ya ulinzi na usalama katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, na kuitaka kamati hiyo kuendelea na kazi; waka...