Wakati ilipowekwa: April 7th, 2017
Wafanyakazi wa hospitali ya wilaya Nyamiyaga wanaendelea na mafunzo ya mfumo wa afya ambayo yanatolewa na Afisa TEHAMA wa mkoa Bw. Ladislaus Kaijage. Mafunzo haya yanatolewa kutekeleza agizo la serika...
Wakati ilipowekwa: April 5th, 2017
Afisa Elimu Msingi (aliyevaa suti) ndg. Gideon Samson Mwesiga akipokea madawati 100 kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Ngara kutoka kwa Afisa Uhusiano wa Kabanga Nickel ndg.B...
Wakati ilipowekwa: April 3rd, 2017
Halmashauri ya wilaya ya Ngara kupitia idara ya ujenzi imeanza matengenezo ya barabara za mitaa ya Ngara mjini yenye urefu wa kilometa moja kwa kiwango cha lami kuanzia tarehe 6/3/2017. Ujenzi huo una...