Wakati ilipowekwa: October 26th, 2024
NGARA JOGGING
Ahsanteni kwa Kuja
Tukutane Jumamosi ijayo
MCHONGO NI AFYA YAKO ZINGATIA UNACHOKULA
Ngaradc.go.tz...
Wakati ilipowekwa: October 25th, 2024
Wananchi, Taasisi na watumishi wote Wilayani Ngara mnakaribishwa kushiriki Mazoezi ya Pamoja siku ya Jumamosi Tarehe 26/10/2024 kuanzia saa 12:00 Asubuhi uwanja wa Mpira wa kikapu (Kokoto)
Sa...
Wakati ilipowekwa: October 22nd, 2024
NGARA LEO
Leo tarehe 22/10/2024, timu ya Uhamasishaji na Utoaji Elimu TRA HQ imewasili NGARA DC na kukutana na Mhe Col Mathias Julius Kahabi DC Ngara Ofisini kwake kwa ajili ya kujitambulisha...