Wakati ilipowekwa: March 9th, 2017
Wananchi wa kitongoji cha Mkanywampezi kata ya Ngara mjini mamlaka ya mji mdogo kwa kushirikiana na wataalamu wa halmashauri na diwani wakishiriki katika zoezi la kutafuta utatuzi wa uhaba wa maji amb...
Wakati ilipowekwa: March 3rd, 2017
Kamati ya mapokezi ya dawa ya wilaya ikipokea dawa kutoka kwa MSD. Dawa hizo zitasambazwa katika hospitali na zahanati kulingana na mahitaji ya eneo husika....
Wakati ilipowekwa: March 2nd, 2017
Halmashauri ya wilaya kupitia idara ya maji tayari imepokea vifaa vya kumalizia miradi ya maji inayofadhiliwa na Benki ya dunia katika vijiji vya Muhweza ambapo mradi umekamilika kwa asilimia 52 (52%)...