Wakati ilipowekwa: April 19th, 2023
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan .Imetoa fedha Tsh Bilion 1,163,800,000/kupitia mradi wa Boost Kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Msingi Mpya ,...
Wakati ilipowekwa: April 18th, 2023
Kamati maalum imetembelea Njia na Miradi ya Mwenge Itakayofunguliwa, zinduliwa ,Kaguliwa,na kuwekewa Jiwe la Msingi.
Ambapo timu hiyo iliongozwa na Mhe Mkuu wa Wilaya ...
Wakati ilipowekwa: April 15th, 2023
Serikali ya Jamhuri yau Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Dkt SAMIA SULUHU HASSAN,imetoa Pikipiki 34 kwa Maafisa Kilimo wa wilaya ya Ngara.
Lengo likiwa Kuboresha huduma za Ugani n...