Wakati ilipowekwa: June 18th, 2024
NGARA LEO
Timu ya Madaktari Bingwa wa Mhe Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeripoti Wilayani Ngara na kuanza kazi rasmi leo Tarehe 18/6/2024.
Timu hiyo Maarufu k...
Wakati ilipowekwa: June 15th, 2024
Tume huru ya taifa ya uchaguzi imefanya tarehe 15/06/2024 mkutano na maafisa habari toka Mikoa na wilaya uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Dar es salaam.
Mkutano kaz...
Wakati ilipowekwa: June 13th, 2024
Leo Tarehe 13/6/2024,
Uongozi wa Tembo Nickel umetoa Vitunzia taka 25 vyenye thamani ya Tsh 7.5m.
Makabidhiano hayo yanafanyika hadharani yamefanyika mbele ya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Ngara...