Wakati ilipowekwa: October 29th, 2023
Mhe Dkt Doto Biteko Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati amewasha umeme wilayani Ngara katika vijiji vya Ntanga Mursagamba na kabulanzwiri kasharazi Rusumo.
Wananchi wa maeneo hayo walikuw ...
Wakati ilipowekwa: September 29th, 2023
Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali wakifuatilia maelekezo mbalimbali ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko baada ya kuwasha umeme katika katika kijiji cha Ntanga kata ...
Wakati ilipowekwa: September 27th, 2023
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imewekeza shilingi bilioni 80 kutekeleza miradi mbalimbali ya usambazaji wa umeme vijijini mkoani Kagera.
Hayo yameelezwa leo Se...