Wakati ilipowekwa: March 29th, 2018
Gari lenye usajili wa namba T494AKC, likitokea kata za Nyakisasa na Rulenge katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, limekamatawa likisafirisha magunia 389 ya mahindi, likiyapeleka mkoani Singida bila k...
Wakati ilipowekwa: March 29th, 2018
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imeipatia Halmashauri ya Wilaya ya Ngara mkoani Kagera shilingi milioni 800, kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya huduma za afya.
Mweny...
Wakati ilipowekwa: March 27th, 2018
Wanafunzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, wametakiwa kutumia muda, juhudi na nguvu nyingi katika kujisomea, kwani ndiyo azima pekee iliyowaweka shuleni.
Afisaekimu Taaluma wa Halmashauri ya ...