Wakati ilipowekwa: October 1st, 2024
Ngara leo
Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon Kimilike ametembea kuona maendeleo ya ujenzi wa shule ya Amali inayojengwa kijiji cha kasharazi kata ya Rusumo.
Ujenzi wa shule hiyo utagh...
Wakati ilipowekwa: September 29th, 2024
Ni siku ya pili mfululizo Mhe DC na Team yake wakiwa site kuhakikisha Huduma muhimu zinapatikana Hospitalini hapo, Kamati imejiridhisha na kazi kubwa inayofanywa na Mameneja wa TANESCO na RUWASA ...