Wakati ilipowekwa: September 30th, 2017
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya Ndg Gedion S. Mwesiga (Hayupo kwenye picha) wakati akifunga mafunzo ya mfumo wa mipango na bajeti wa mamlaka ya serikali za mitaa (PLANREP) na mfumo wa usimamizi wa...
Wakati ilipowekwa: October 2nd, 2017
Mkuu wa wilaya ya Ngara Mh. Lt. Col. Michael M. Mtenjele amewataka wajumbe wa kikao cha kamati ya ushauri ya wilaya kushiriki kikamilifu katika kikao hicho ili mawazo yatakayotolewa yaweze kuwa chachu...
Wakati ilipowekwa: September 6th, 2017
Wanafunzi wa darasa la saba wameungana na wanafunzi wengine wa darasa la saba nchi nzima kufannya mtihani wao wa mwisho wa Taifa wa kumaliza elimu ya msingi. Mtihani huo ambao ni wa siku mbili umeanza...