Wakati ilipowekwa: October 16th, 2024
NGARA LEO
16/10/2034
Col. Mathias J Kahabi Mkuu wa Wilaya ya Ngara Leo ametembelea kata ya Murusagamba Tarafa ya Murusagamba.
Mhe Col.Kahabi amewataka wananchi wa Murusagamba kujitokeza kujia...
Wakati ilipowekwa: October 14th, 2024
Leo tarehe 14/10/2024 mkoa wa Kagera umetangazwa kuwa mshindi wa kwanza kitaifa katika mbio za mwenge wa uhuru na wilaya ya Muleba kuwa ya kwanza kitaifa .
Matokeo hayo yametajwa katika kilele cha ...
Wakati ilipowekwa: October 13th, 2024
Banda la Ngara (W) katika maadhimisho ya siku ya chakula duniani. Kitaifa maadhimisho hayo yanafanyika Bukoba- Mkoani Kagera na kilele chake itakua tarehe 16.10.2024 kwa kutangaza fursa za bidhaa na m...