Wakati ilipowekwa: October 29th, 2018
Wananchi wote katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, wametakiwa kushiriki kikamilifu katika zoezi la kunyunyizia dawa ya kuua mbu majumbani, ili waweze kuutokomeza ugonjwa wa Malaria ifikapo Mwaka 202...
Wakati ilipowekwa: October 19th, 2018
Wakulima wa mibuni katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, wametakiwa kupanda miche ya kisasa ya zao hilo, ili waweze kuongeza uzalishaji kwani miche ya zamani haina tija tena kwa wakulima hao.
Hayo...
Wakati ilipowekwa: October 15th, 2018
“Naamini kwa umri wenu mnaweza kusonga mbele kimichezo mradi muwe na nidhamu ya kufanya mzoezi, na kuachana na mambo yasiyojenga katika maisha.” alisema makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya N...