Wakati ilipowekwa: October 19th, 2023
Ilielezwa na Dr Deograthias Mlandali mganga mkuu Wilaya.
Tayari Huduma ya UPASUAJI mama na Mtoto zimekwishaanza na wanaendelea vizuri .
Aidha alimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ...
Wakati ilipowekwa: October 18th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Ngara, Mheshimiwa *Kanali Mathias Julius Kahabi* (kushoto) pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Usalama ya Wilaya wamefanya ziara kwenye Kata ya Bugarama - Ngara na kufanya Kikao na ...