Wakati ilipowekwa: January 4th, 2019
Wanawake Katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, wametakiwa kuacha vitendo vya ukatili dhidi ya watoto, baada ya baadhi ya wanawake hao, kuwaua au kuwatelekeza watoto hao katika mazingira hatarishi baa...
Wakati ilipowekwa: January 3rd, 2019
Wananchi wa Kijiji cha Kazingati kata ya Keza katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara wameiomba serikali imruhusu mwekezaji toka nchini Korea Kusini awekeze kijijini humo, ili waweze kunufaika na ajira ...
Wakati ilipowekwa: January 2nd, 2019
Serikali imesitisha vyama vya ushirika vya Kagera Development Cooperative Union (KDCU) LTD cha wilaya za Karagwe na Kyerwa, Kagera Cooperative Union (KCU) na Ngara Farmers mkoani Kagera kulipa madeni ...