Wakati ilipowekwa: January 26th, 2025
NGARA LEO
26/01/2025
Mafunzo hayo yametolewa na viongozi kutoka chuo cha Hombolo, Lengo kuu la Mafunzo hayo ikiwa ni kuwajengea uwezo viongozii wa serikali ya kijiji/ Mitaa
...
Wakati ilipowekwa: January 25th, 2025
NGARA LEO
25/01/2025
Yamefanyika matembezi pamoja na kufanya mazoezi kwa ajili ya uzinduzi wiki ya Sheria .
Matembezi hayo yaliongozwa na bendi ya shule ya msingi Nyamiaga ambapo ...
Wakati ilipowekwa: January 22nd, 2025
NGARA UPDATES
22/01/2025
DC Ngara Mhe Col Mathias Kahabi alifuatana na Kamati ya Usalama ya Wilaya, Mhe Diwani Kata ya Kabanga, Watalaam toka Halmashauri ya Wilaya ya NGARA pamoja na Viongozi mb...