Wakati ilipowekwa: February 12th, 2020
Mnamo tarehe 12 Februari, Halmashauri ya Wilaya ya Ngara ilipata ugeni kutoka Wizara ya Afya, maendeleo ya jamii,jinsia, Wazee na Watoto ambapo Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula aliongoza...
Wakati ilipowekwa: November 6th, 2019
Ngara ni wilaya iliyojaliwa vivutio vingi vya utalii ikiwemo Hifadhi ya Taifa ya Wanyama Burigi, Maporomoko yapatikanayo Rusumo, Mapango ya Ntobeye,Mafiga matatu,Nyumba ya Chifu Balamba na vivutio vin...
Wakati ilipowekwa: November 6th, 2019
Chama cha Ushirika cha Wakulima, Ngara Farmers kimeahidi kulipa madeni yote ya wakulima wa kahawa wilayani Ngara mpka inapofikia Novemba 17 mwaka huu. Akijibu maswali ya Waheshimiwa Madiwani kat...