Wakati ilipowekwa: November 20th, 2023
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amewataka Mameneja wa Mikoa wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), kuhakikisha wanaendelea na Mapambano dhidi ya rushwa katika maeneo yao ya kazi na nje ya kazi...
Wakati ilipowekwa: November 19th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Ngara Leo tarehe 19/11/2023 ameongoza zoezi la kufanya usafi wa pamoja na uongozi wa Kijiji Cha kamatende kata ya Rusumo wilayani Ngara pamoja na Wananchi wa Kijiji hicho ...
Wakati ilipowekwa: November 19th, 2023
Miili ya Watoto Sita wa Familia moja walioaga Dunia Mnamo Novemba 14 na 16, imepumzishwa katika Eneo Maalum la maziko Wilayani Biharamulo .
Shughuli iliyoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Haj...