Wakati ilipowekwa: March 27th, 2018
Wananchi wapatao 4,643 wa Mamlaka ya Mji wa Ngara, wananufaika na huduma ya maji safi na salama, baada ya mtambo mpya kununuliwa na kusimikwa.
Mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Ndu...
Wakati ilipowekwa: March 26th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Ngara imeratibu maeneo ya kuweka viwanda, kwa ajili ya kuwahamasisha wadau kuwekeza katika sekta ya hiyo.
Akiongea kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ofisini k...
Wakati ilipowekwa: March 21st, 2018
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Ndugu Aidan John Bahama, amewaagiza watendaji wa kata na vijiji, kuwataarifu wananchi wenye mashamba yenye ukubwa wa zaidi ya ekari hamsini (50), ...