Wakati ilipowekwa: May 12th, 2023
Kikundi hicho cha wanawake Msumba ambao walipatiwa mkopo na Halmashauri tsh M.20,000,000/
Kikundi cha wanawake Msumba ambacho hujishirikisha na utengenezaji wa sabuni bora .
...
Wakati ilipowekwa: May 4th, 2023
Kikao Cha Baraza kimefanyika tarehe 04/05/2023 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya.
Kikao hicho kilichoongozwa na Mhe Adronizi Burindoli Makamu Mkiti Halmashauri ,kaimu Mkurugenzi ...