Wakati ilipowekwa: December 17th, 2023
Mafunzo yakiendelea katika vikundi baada ya kufundishwa namna ya kuingia kwenye mfumo.
Mafunzo hayo yanashirikisha watumishi wote walio katika tarafa ya Murusagamba.
Mafunzo yakiongozwa na...
Wakati ilipowekwa: December 16th, 2023
Leo yamefanyika mafunzo ya mfumo wa Upimaji utendaji kazi Kwa watumishi katika tarafa za Rulenge na Murusagamba.
Mafunzo hayo yakoingozwa na Afisa utumishi Ndg. Bahati Marco na timu yak...
Wakati ilipowekwa: December 16th, 2023
Imefanyika hafla ya utiaji Saini Mkataba ya usanifu Miradi ya uboreshaji miundombinu ya Miji Tanzania(TACTIC) Kwa Miji 15 ya kundi la pili(Tier 2).
Pia sambamba na Uzinduzi wa Magari yaliyotolewa M...