Wakati ilipowekwa: March 22nd, 2024
NGARA LEO
Leo imefanyika hafla fupi ya ugawaji wa Mipira ambayo imetolewa na Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) kupitia programu ya Football for schools (F4S) Ikiwa ni jitihada za Rais wa ...
Wakati ilipowekwa: March 22nd, 2024
Leo uongozi wa Tembo Nickel umekutana na menejimenti ya Halmashauri katika Ukumbi wa kilimo.
Lengo likiwa viongozi wa Tembo Nickel Kutoa ufafanuzi wa eneo la mukigende ambapo waathirika wa mgodi wa...
Wakati ilipowekwa: March 22nd, 2024
NGARA LEO
Leo mameneja wa NMB matawi ya Wilaya zote za mkoa kagera wamekabidhi msaada wa magodoro 20 yenye thamani Tsh 1,200,000/= Kwa wanafunzi wenye mahitaji Maalum shule ya Msingi Murgwanza.
...