Wakati ilipowekwa: October 19th, 2023
Zoezi la Usafi linaendelea Kila siku ya Alhamis ambapo Mkuu wa Wilaya Kanali Mathias Kahabi na timu yake kukagua mtaa Kwa mtaa .
Ngara inaendelea Kung'aa Kwa usafi .
INAYO...
Wakati ilipowekwa: October 19th, 2023
Ilielezwa na Dr Deograthias Mlandali mganga mkuu Wilaya.
Tayari Huduma ya UPASUAJI mama na Mtoto zimekwishaanza na wanaendelea vizuri .
Aidha alimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ...