Wakati ilipowekwa: March 10th, 2025
Leo tarehe 10/3/2025, Mhe Col Mathias Julius Kahabi DC Ngara amekutana na baadhi ya wafugaji pamoja na Viongozi wao kwa lengo la kutatua KERO ya wizi wa mifugo unayoendelea katika viji...
Wakati ilipowekwa: March 7th, 2025
NGARA UPDATES
Halmashauri ya Wilaya ya Ngara imeongoza kwa usafi katika Mkoa wa Kagera na kupata Hati safi kwa usafi wa mazingira na namna inavyopambana kuzuia Magonjwa ya Milipuko kwa kuweka mazin...
Wakati ilipowekwa: March 6th, 2025
NGARA UPDATES
06/03/2025
Mvua ya upepo mkali iliyonyesha tarehe 5/3/2025 majira ya saa 11 Jioni Ambapo vyumba 2 vya madarasa na ofisi viliezuliwa.
Timu ya Mkurugenzi Mtendaji wila...