Wakati ilipowekwa: November 6th, 2023
Uongozi wa Tembo  Nickel  ukiongozwa na Ndg Bernard Seif ,Bi Calla  Kingery  na Projestus  Bakenga wamefika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya.
Lengo likiwa ni Kukutana na...
Wakati ilipowekwa: November 5th, 2023
Viongozi kutoka Bank Kuu wakiongozwa na Ndg  Amri Mbarilaki Mkuu wa Kitengo Cha Uchunguzi  amefuatana  na Ndg.Omary Msuya, Ndg.Khamis Mchochula wemefika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wil...
Wakati ilipowekwa: November 4th, 2023
Balozi wa Tanzania nchini Burundi Mhe Gelasius Gasper Byakanwa amekutana na    Mkuu Wa Wilaya Ngara Mhe.Kanali Mathias Julius Kahabi pamoja na kamati ya Usalama Wilaya Leo tarehe O4/11/2023....