Wakati ilipowekwa: October 3rd, 2023
Waziri mwenye dhamana ya Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega (Mb) amezindua Programu ya Kuinua Uchumi kupitia Ufugaji ijulikanayo kama "Kopa Ng'ombe Lipa Maziwa" inayotekelezwa na Shirika la Kimataifa la H...
Wakati ilipowekwa: October 4th, 2023
Afisa Afya na usafi wa Mazingira Ndg. Yasin S Mwinory amefanya Ukaguzi na kutoa mafunzo Kwa Wachinjaji na Wauzaji wa Nyama Kwa watu 43 ili kulinda Afya ya walaji .
Mafunzo hayo y...