Wakati ilipowekwa: November 28th, 2023
Ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari Murubanga kata ya Nyamagoma Wilayani Ngara Sasa Umekamilika.
Shule hiyo ya Sekondari Murubanga tayari Imesajiliwa rasmi Kwa Namba S.6...
Wakati ilipowekwa: November 27th, 2023
Mkuu wa wilaya ya Ngara Kanali Mathias J. Kahabi amefanya kikao na viongozi wa Chama na Serikali tarehe 24/11/2023 kata ya Murusagamba Wilayani Ngara.
Lengo la kikao ikiwa ni kutatua kero na ...
Wakati ilipowekwa: November 26th, 2023
Mhe Col Mathias Julius Kahabi DC Ngara, tarehe 24/11/2023, amekutana na Watendaji wa mradi wa Tembo Nickel Basil Shio - Resettlement Lead, Calla Kingery - Chief Resettlement Advisor na Commander Gille...