Wakati ilipowekwa: June 11th, 2023
Mashindano ya Umisseta yamekamilika. Tumepata Vikombe vitano vya mshindi wa kwanza kwa Mpira wa wavu, kikapu, muziki kizazi kipya, Usafi na nidhamu. Aidha tunamshukuru Mkurugenzi wetu Ndg Solomon Kimi...
Wakati ilipowekwa: July 2nd, 2023
Mbunge wa Jimbo la ngara Mh. Ndaisaba Georger Ruhoro leo tarehe 02, July 2023 amezindua na Kufungua Mashindano ya Ligi Daraja la nne Yenye THAMANI YA Shilingi Milioni Sita yaliyozikutanisha timu...
Wakati ilipowekwa: June 30th, 2023
Leo tarehe 30/06/2023 Mheshimiwa Kanali Mathias Kahabi (DC NGARA) ameambatana na Wakuu wa idara na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama Ngara atembelea na kukagua miradi mbalimbali inayoendelea ...