Wakati ilipowekwa: July 19th, 2024
NGARA.
19 JULY, 2024.
Mbunge wa Jimbo la Ngara MH.NDAISABA RUHORO amekabidhi TZS 13,000,000 Taslimu kuwezesha michezo ya Mbio za Marathoni pamoja na mashindano ya Mpira wa Miguu Wilayani Ngara.&...
Wakati ilipowekwa: July 19th, 2024
Leo tarehe 19/7/2024, Mhe Col Mathias Julius Kahabi Mkuu wa wilaya ya Ngara amefanya Kikao cha ndani na Viongozi wa Tembo Nickel kwa ajili ya kupata maendeleo ya mradi huo ambao uko hatua ya...
Wakati ilipowekwa: July 17th, 2024
NGARA LEO
Mkuu wa Idara ya utawala utumishi na rasilimali watu Bi Sabra Mwankenja akiafuatana na Afisa Elimu Msingi Mwl James Ling'hwa na maafisa idara ya Elimu wamefanya Mkutano na walimu.
...